BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Muigizaji wa filamu nchini Burundi Tambwe Remy anakuja na shortfilm yake mpya

Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kwa jina la Tambwe kama jinsi wengi walivyozowea kazi zake na kumuita NABII MRUNDI ni kijana ambaye mwaka 2019 aliweza kutumika na kufikisha tasnia ya filamu nchini Burundi sehemu nzuri sana na hapo kabla yakufunga mwaka kijana uyo alikabiziwa CERTIFICATE OF BEST ACTOR na company ya UKEBURWATANS inayo simamiwa na kiongozi mama SOUAVIS na ikumbukwe kuwa Tambwe nikijana mwenye kujituma sana.

Basi baada ya indundi tv kuona cover hio tumemuuliza anacho kipanga mwaka huu Tambwe alisema :

“Kwanza nichukuwe nafasi ya kushukuru Mungu sana maana anazidi kuniwezesha kwa kila hatua na jambo lolote ambalo nazidi kufanya kwa sababu nakumbuka mwaka 2017 nilipata certificate kama hii niliyo ipata mwaka huu ndo kwa maana niseme kwamba yote sio nguvu yangu ila Mungu ndo anazidi kuniwezesha siku baada ya siku na kwa bidii niliyo nayo ndo inaniwezesha ndio maana kweli nashukuru sana pia nisema kwamba mwaka huu wa 2020 najipanga vyakutosha kusema kwamba nitaakikisha nifikia malengo yangu ya kuleta tunzo nje ya nchi maana kazi zote ambazo naziandaa ni kubwa kubwa naamini pamoja na Mungu nitafika. Ombi langu tu ni kwa watangazi mzidi kusapoti kazi zetu kwa kila mda na mzidi kututangaza kwa kila hali”. Alizamaliza tambwe

Kweli kijana Tambwe ni kijana anae jituma sana kwa hali na mali maana kila mwaka anazidi kuonekana tu akifanya kazi nzuri na zenye kuleta mafunzo makubwa makubwa kwa hio tasnia kabisa inaitaji vijana kama awa wenye bidii nakutafuta maendeleo kwa hio indundi Tv inakuja kutowa mchango mkubwa sana kwenye filamu.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 536