BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Kube Drama : Nitaakikisha mâle naleta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya filamu Burundi

Muigizaji wa filamu nchini Burundi KUBE DRAMA ni msanii anae jituma sana kwenye tasnia ya filamu Burundi na nikijana mwenye kujituma kwa upande wa utayarishaji wa filamu na kazi zake kuonekana kuwa bora zaidi pia Kube Drama ni cameraman na editor wa filamu na anazidi kuleta Quality nzuri sana kwenye filamu na kwasasa anatumikia ndani ya company ya JAY C PRODUCTION  na apo anazidi kuonesha uwezo mkubwa siku kwa siku kutokana na bidii aliyo kuwa nayo.

Basi indundi tv tumeweza kumtembelea nakuuliza nini anacho kiandaa ameweza kujibu:

“Yes mimi naitwa Kube Drama ila watu wengi wananizoweya kwa jina la Drama pia mimi ni msanii wa filamu na kwasasa nina miaka mingi sana kwenye uigizaji ila kuna kipindi kilichofikia nikajiingiza kwenye mambo yaku shoot pia na ku édit yote hayo yametokea  baada ya kuwa nasumbuliwa sana kwenye shooting na wa cameraman ,basi kwa upande wangu nikaona nivema sana nikianza kujifunza hiyo kazi na nilipo pata nafasi ya kujifunza kuna watu wengi wamenikata moyo kabisa na kunionesha kwamba mimi sintoweza ila kimoja nimejipa imani maana akuna aliye zaliwa anajuwa ,baada ya mwaka nimeanza kufanya kazi hadi kuna watu wengine awakuamini kama ni mimi ila niseme tu kwa mwaka uhu nimekuja tofauti sana ili kuakikisha naifikisha mbali tasnia yetu ya filamu,pia na MUNGU kunijalia sasa nina Group yangu ya filamu iitwayo DRAMA FILMS BURUNDI na kwa sasa tumeweza kuachiya filamu mpya iitwayo HOUSE GIRL na hapo siyo mwisho neno moja kwa washabiki wangu wajiandae sana mwaka huu nakuja kivingine watapokea kazi zangu nyingi sana toka kila pande.” Alimaliza Drama

HOUSE GIRL Ni filamu nzuri sana yenye mafunzo makubwa sana kwa upande wa wana ndoa ,kweli kijana uyu amejitaidi sana kwa upande wa utunzi na uhandishi na ilo ndo jambo kubwa ambalo linaitajika sana kwenye tasnia ya filamu na ameweza kufanya filamu yenye quality nzuri sana ,kweli mapinduzi mwaka huu lazima yaonekane.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 192