Burundifriends-request-acceptedhomepageIndundi CinemaMoviesmovies_featuredswahili

Happy River : Filamu yangu inazidi kufanya vizuri

Muingizaji wa filamu nchini Burundi Happy River ambae anazidi kutamba kwa Filamu nakuzidi kujichukulia umaarufu mkubwa sana siku kwa siku, kweli nikijana ambaye tunazidi kuona Filamu zake na utofauti mkubwa sana na zenye kuwa na ubunifu na wakiona filamu yake iitwayo SAMIA kuzidi kufanya vizuri kila pande basi Indundi Tv tuliweza kumtafuta nakuuliza nini kinacho fatia baada yakushuka kwamba kwa sasa ni msanii anae jitegemea mwenyewe kwa Upande wakazi. Basi ametujibu :

“Mimi kwa sasa nimekuja na utofauti kiasi kwamba watu watashindwa kunielewa kabisa maana nimekaa nakujifunza mambo mengi yanayo sababisha sisi wasanii kushindwa ni kitu kimoja atuamini kwamba sisi wenyewe tuna weza kweli nimekaa sana na nikatumika na watu tofauti ila kubwa zaidi nilicho jifunza ni kwanza mimi mwenyewe nijiamini kama mimi, kweli ninazo Filamu nyingi nilizo towa ila Filamu ya SAMIA Kweli ni Filamu ninayo ipenda sana maana inazidi kufanya vizuri kila pande na ndo Filamu ambayo washabiki wamepokea bila tatizo kweli nashukuru Mungu maana na iyi ni Hatuwa kubwa sana ambayo nimepiga ndio maana niwaambie tu kwamba naanda mambo mazuri tena makubwa na nitaachia tu mda si mrefu naamini watapenda kabisa maana bila wao mimi siwezi kuwa Star”. Alimaliza RIVER.

HAPPY RIVER ni msanii mwenye kujituma kwa kiasi kikubwa hadi kuonekana kwenye kazi za wasanii wa Tanzania nakujipatia umaarufu wakutosha kwenye iyo nchi pia ni Actor pia ajaishuulisha na swala la Ucameraman na Editing, kweli Mungu ambariki sana kabisa na azidi kumpa maendeleo.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 200