5.5 C
New York
Thursday, October 28, 2021
HomehomepageLogic Jamal : "Naitaji kuwa editor mkubwa wa filamu mwaka huu"

Logic Jamal : “Naitaji kuwa editor mkubwa wa filamu mwaka huu”

Cameraman na Editor wa Filamu nchini Burundi maarufu kama LOGIC JAMAL ambae nikijana mdogo sana ila anazidi kuonesha uwezo wa kuingiza siku kwa siku na kujichukulia jina pia Jamal ametengeneza Cover za filamu tofauti tena na filamu hizo zimekuwa najina kubwa ,ila apo mwanzo kijana huo alikuwa ni muingizaji wa filamu na apo ndipo katika maojiano na Indundi tumemuuliza ni kitu gani kilicho sababisha akaacha uigizaji nakuingia mambo ya Editing Jamal Amesema :

“Kwanza niwashukuruni sana kwakuniuliza ilo swali nikianza mwanzo kabisa mimi nilikuwa muigizaji wa filamu ila baada ya kuona kukaa mda mrefu bila kuona mafanikio ndipo nimeamuwa kuanza kujifunza kazi ya mikono na baadae nikaona hakuna kazi nyingine ninayoweza kujifunza isipo kuwa ya cameraman pia na editing na kweli nimesumbuka ila nilipo kuwa kwenye safari hiyo nimekutana na watu wengi sana naku ongea na wa Directors ila ilipo kuja kufika kwa Wise pro alinisaidia mambo mengi sana na apo level yangu ikapanda hadi sasa nafanya kazi nyingi sana pia hadi clip za Music. Kitu kimoja kwa kumalizia nachoweza kusema nikwamba kwa kweli naitaji kuwa Editor wa kwanza mwaka huu kupitia Filamu na ikiwa kutakuwa na mashindano naamini nitaibuka mshindi. Kweli naipenda kazi yangu na pia najiamini kwenye kazi”. Alimaliza Jamal

Kweli ubunifu ndo njia pekee yakufikia malengo naamini kujituma kwake ndo imekuwa nafasi kubwa ya Jamal kufikia malengo yake.

- Advertisment -

Must Read

SAT-B ngo yasabwe gukora arekane n’abavuga gusa

0
Abantu bahanuye Sat-b gukora gusumba kwishinga abavuga, ivyo bikaba bishikirijwe ku rubuga rwiwe Aho yariko amenyesha abantu ko Imana ariyo yamukuye mu bworo. uwo muririmvyi...