homepageIndundi Cinemakirundikirundi_SportsMoviesswahili

UKEBURWATANS FC : “Tunajipanga kufunga waimbaji wa music”

UKEBURWATANS ni nyumba ya utengenezaji wa filamu nchini Burundi ambayo inaongozwa na Mama Souavis na ni Company kubwa ambayo inazidi kujibebea umaarufu mkubwa sana nchini na ndiyo imeweza kutowa tunzo kwa wasanii waliyo Fanya vizuri mwaka 2019. Na baada ya hapo inavyo jipanga nikuinuwa tasnia ya filamu na vijana wenye ndoto ila kati ya ilo wamesema wa naitaji kwanza kuleta changamoto kubwa sana kwa upande wa waigizaji wataanda match itakayo chezwa na wasanii wakuimba music na ndipo wakatowa ujumbe kwa wasanii wote wakuigiza :

“Habari ndugu muigizaji ambae upo ndani ya jiji la Bujumbura UKEBURWATANS production imeanzisha team ya Buja movie football kwa waigizaji wa kiume hapa mjini Bujumbura kwa lengo la kukusanya waigizaji ili wawe na umoja na kutambuana zaidi na kwa lengo hilo team hiyo ya Buja movie football kuna match kabambi imeandawa na hivi karibuni na itakua ikikutana kila dimanche saa tisa kwenye uwanja wa jabe (kwa mwalim Abdi) unakaribishwa kama unajijua wewe ni muigizaji kwa maelezo zaidi ili tukuunge kwenye kundi la Buja Movie Football wasiliana nasi 75848308.”  Walimaliza kwakutowa matangazo.

Ila Indundi ilipo uliza nini lengo wamejibu kwa kusema :

“Sisi Shida yetu nikuona wasanii wa filamu nchini Burundi wanakuwa na umoja wa uhakika na kuondosha kila ahina ya bifu wanazo kengeana siku kwa siku na kusababisha tasnia ya filamu Burundi haifiki popote pia ukitazama wasanii wetu Burundi wana weza kazi kabisa na niwatu wenye kujituma sana kwa hio tunaamini kwamba UKEBURWATANS ni moja ya ma Company yanayo leta njia ya mapinduzi”

Burundi umoja ndo nguvu ya maendeleo, basi towa maoni yako apo chini.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 690