homepageIndundi CinemaMoviesswahili

David Kalitumba : “Baada ya kutoka Burundi na kwelekea malawi sikuacha filamu”.

Muigizaji wa Filamu kwa jina la David Kalitumba ambaye ni mwenye uraia wa kikongo ila alikuwa akifanyia Filamu nchini Burundi kaada ya kutoka Congo na alijituma sana na kusema kwamba ndo anataka aanze kuigiziya hapa Burundi ila baada ya kugeuza makao na kwenda nchini Malawi hakuacha kazi yake bali aliongeza bidii na juhudi kubwa. Basi baada ya kuonekana kwenye Cover, Indundi imewasiliana naye na akasema :

“Kweli mimi ni Muigizaji wa Filamu nchini congo ila baadae nilipendelea kuishi Burundi ili kujikuza ki sanaa ila baada ya hapo nimetoka na kwenda nchini Malawi nilipofika nimesumbuliwa kabisa na kipaji baada yakuacha mambo ya uigizaji ila nilipo rudi nimefanikiwa kufanya baadhi ya Filamu zakutosha kabisa ila hii Movie inayo itwa ZAWADI YANGU ni Filamu ambayo imekuja na utofauti mkubwa kabisa maana ni Filamu ambayo imepangwa vizuri kuanza mwanzo hadi mwisho pia kwanza tumekaza Story mwanzo mwisho.

Pia kuhusu Casting kila mtu amesimamia nafasi yake kabisa na kwasasa kwa kumalizia ni kwamba wa Editor wanafanya vizuri pia niseme siyo ndo kazi ya mwisho iyi Apana ila nitajaribu Kufanya Movie nzuri mwaka huu zenye kufuraishaa washabiki wangu kila sehemu maana ata mwenyewe naitaji mabadiliko, na kwa siku ndogo tu naamini kwamba kazi iyi nitaitowa njiani”. Alimaliza David

Umoja ni nguvu na utengano ni uzaifu kabisa naamini kwa pamoja na umoja lazima mtafika mbali ,kujituma kwa vijana leo ni kwasababu yakujenga maisha ya baadae pia sanaa inachangia kwenye nchi pia kwenye maisha

What's your reaction?

Related Posts

1 of 518