homepageIndundi CinemaMoviesswahili

The Brothers Company : “Tunamleta Hemedy Suleiman Burundi”

Company ya uandaaji wa Filamu nchini Burundi The Brothers Company ni Company inayo endelea kuleta wasanii wa nje ya nchi na kuwashirikisha kwenye kazi zao na uku wakionesha nguvu ya kutangaza nchi ya Burundi kimataifa nakuzidi kuonekana bora zaidi. Badala ya kutengeneza Filamu ya BURUNDIAN IN DAR ni Filamu ambayo walimshirikisha tena Hemed Suleiman msanii mkubwa kutoka Tanzania ivi tena wanatarajia kumleta na kushiriki kwenye Filamu yao ya IRONDO inayo zidi kufanya vizuri siku kwa siku. Baada ya hapo tuliweza kuwasiliana na Producer wa Company hio Wise Pro kuhusu ujio wake amesema :

“Ni kweli kabisa kuhusu habari zinazo zidi kusambaa mitandaoni kwamba HEMEDY yuko nakuja soon na lengo lakumleta ao kuwaleta wasanii wa Filamu kutoka nje ya nchi ni moja ya kuweza kutambulisha nchi yetu kimataifa na kuonesha vipaji vyetu, na tuliweza kumshirikisha kwenye Filamu iitwayo BURUNDIAN IN DAR na kwa sasa tunakuja na nyingine iitwayo IRONDO na msanii huyo siku si mbali tutakuwa naye hapa Burundi na ilo tutalitangaza ila naomba washabiki wetu waamini kwamba tunakuja kuleta mabadiliko.” Alimaliza Wise Pro

Company ihii ya The Brothers inazidi sana kufanya Filamu za kimataifa na zenye kupendwa na hio ni njia ya kuweza kuifikisha Burundi mbele kwa kuleta maendeleo.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 191