homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Sadji Omar : Huu ni mwaka wa mabadiliko makubwa sana

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Sadji Omar msanii mkongwe kwenye Tasnia ya Filamu Burundi na ameweza kushiriki na kutengeneza Filamu nyingi tofauti na kujipatia umaarufu mkubwa sana nchini, pia ameweza kutowa mafunzo mengi zaidi kwa baadhi ya wasanii. Baada ya kuonekana akiwa ana shoot basi Indundi iliongea naye nakumuuliza nini anayo andaa mwaka huu aliseme :

“Kwanza nizungumze kutokana na Tasnia yetu ya Filamu nchini Burundi unajuwa waigizaji wengi sana wanashindwa kujielewa yote hio ni kwa sababu ya kila mmoja kujiona bora kuliko mwengine ila tu nikumbushe wasanii kwamba siyo kwa njia iyo ndo tunaweza kuinuwa Tasnia yetu maana Tasnia yetu inaomba mambo mengi : ushauri ,upendo ,umoja na mafunzo. Swala la kujiona wewe ni bora kuliko mwengine kusema ukweli kabisa ni udanganyifu na maanguko kwenye Tasnia yetu kumbe kama tunaipenda inchi yetu na Sanaa yetu lazima tushirikiane , naa kwa upande wangu kweli nazidi kushukuru Mungu maana nakuja na utofauti mkubwa kutokana na kazi ambayo nataka kuachia Soon kumbe warundi na Burundi wasubiri kazi zangu na pia Tunaitaji sapoti zenu kwa sana.” Alimaliza ivo.

Ushirikiano na umoja ni nguzo ya maendeleo aswa kwa vijana wapambanaji wanayo itumikia Tasnia ya Filamu nchini Burundi.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 511