homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Jaylo Jamal kwa mara ya kwanza kuonekana kwenye filamu na kuonesha makubwa

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi kwa jina la Jaylo Jamal ni binti mrembo ambaye alikuwaga hajawahi kuonekana ata kwenye Tasnia zaidi kuwa shabiki tu wa mpira ila kwa ajabu zaidi mrembo huyo kuonekana kwenye Movie.

Basi tumeweza kukutana naye na tukaweza kuongea mawili matatu ame sema kwamba :

“Kusema ukweli mimi sikuwa muigizaji na wala sikuwa nafikiria kwamba ipo siku mimi nitakuja kucheza Filamu maana mimi nimekuwaga tu napendelea kushabikia mpira wa mguu ila baada ya hapo nimeanza kuona baadhi ya Filamu za kiswahili nikaanza kuvutiwa na vile wanawake wanavyo ndipo nikaanza kujiuliza ma swali kwamba mbona na mimi naweza tu ,basi siku moja nikakutana na mtu Facebook mara moja tukaongea akanikubalia ila nikawa mwenye uhoga sana. Ila hadi sasa sijiamini kwa ichi kinacho kwenda kutokeya kwenye hii Filamu ni kikubwa sana kwa kweli. Jambo moja niseme tu iyi Filamu ambayo niko naanda itakuwa nzuri naomba wapenzi wa Filamu kweli waipokee na watusapoti kabisa,sina mengi ya kusema ila nimeamini kwamba akuna aliye zaliwa anajuwa kila kitu ni moyo na bidii”. Alimaliza Jaylo…

Kubwa zaidi ni kupenda jambo na lazima ulifanye kwa moyo tunamuombea mafanikio kwenye kazi yake na Mungu asaidie waigizaji wote.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 246