homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Nemcy Mpoza, msanii nyota wa Burundi kukubalika Tanzania

Msanii wa Filamu maarufu kama Nemcy kukubalika nchini Tanzania kwa ajili ya kazi anazozidi kuzifanya siku kwa siku na kuonesha ubora, ikumbukwe kwamba ni hapa nyuma tu dada huu alifanya Interview na Indundi na kusema kwamba mwaka huu lazima atakubalisha watu na kuakikisha jina lake kukubalika nje ya nchi na kutowa ahadi kwa kila mtu anae mshabikia hawezi kupata aibu ni apo sasa tumeanza kuona ndoto zake zikitimia basi tulipo pata ripoti izo mara moja tumemtafuta nakumuuliza kuwa habari izo kama ni ukweli alisema :

“Habari hizo ni za ukweli na hazina chenga yoyote. Ile maana nimetowa ahadi kwa wapenzi wa Filamu kwamba sisi tunakuja kwa ajili yakuinuwa Tasnia ili iweze kupiga hatuwa fulani, ila nikisema kwa ufupi ni kwamba kweli saa hizi kuna msanii yuko Tanzania siwezi kumtaja jina ,amenitafuta ili tufanye naye kazi na hapo ni baada ya kuona kazi zangu nakuona kwamba nafaa kushiriki kwenye kazi yako ,nadhani yote ni nguvu na bidii niliyotumia na ni furaha kwangu kuona wasanii tukianza kuitwa nje ya nchi kama jinsi na sisi tunavyo waletaga, kweli Mungu abariki nchi yetu na asaidie sanaa yetu”
Alimaza Nemcy…

Burundi wasanii wetu kuvuka boda inawezekana ila yote ni kueshimu sanaa na kuifanya ajira.

Neno Moja kwa Nemcy….

What's your reaction?

Related Posts

1 of 511