homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Filamu “Cop’s Enemy” ya John K-ay kuingia kwenye shindano Hollywood

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr John K-ay ambaye anaishi nchini Australia ila mwenye Urai wa Burundi , na hapo nchini Australia ndipo anapofanyia kazi yake, ni baada ya kijana huyo mpambanaji wa hali ya juu alizinduwa Filamu yake hio nchini Tanzania ambapo alishirikisha ata wasanii ma Star wa hapo Tanzania. Na baada yakumaliza uzinduzi Tanzania mara moja alikuja na Burundi pia akazinduwa na warundi walimuonesha upendo mkubwa kuanza kwa mapokezi hadi kwenye uzinduzi na kukaonekana wasanii ma Star wa Filamu pia na Music kwa kutowa sapoti.

Basi asubuhi ya leo tumeona jambo aliloandika kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema :

“This Got me in Tears Bro 😢😢 Cop’s Enemy Film will be In competitions with other Films on this Festival in Hollywood!! This is tooo BIG of news I seriously can’t believe it! It’s all God to be honest! It’s all You GOD! I can’t stay on Facebook after this, I’m going to cheat , Congratulations Team Burundi ,🇧🇮Tanzania 🇹🇿 Nigeria 🇳🇬 Ghana 🇬🇭 Australia 🇦🇺 France 🇫🇷 India 🇮🇳 in one Bloody Film to the world.”

Ayo ni maneno yake akitowa shukrani kwa watu waliyo msaidia.

Burundi kweli inapiga hatuwa kubwa sana kwa njia ya kufikisha sanaa ya BURUNDI mbali. Ongera kwa kijana wetu John K-ay

Neno moja kwake…

What's your reaction?

Related Posts

1 of 191