homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Djuma Sefu : « Naomba wa Directors wote wa Filamu za Burundi tuwe wabunifu »

Msanii wa Filamu Burundi pia na Director anae zidi kufanya vizuri siku kwa siku upande wa Filamu Burundi, hapo ni baada ya kijana huyo kusimamia Filamu kubwa sana ambayo pameshiriki wasanii wakubwa sana kama Shamsa,ndani ya Filamu ya NAJUTA SHAMSA, pia amekuwa Assistant Director ndani ya Filamu ya BURUNDIAN IN DAR ambayo pia imeshiriki wasanii wa kubwa nchini Tanzania kama Jackline Wolper na Hemed Suleiman Maarufu kama PHD ,kweli Filamu hizo zimekubalika sana nchini Burundi nakuonekana na Uchezaji wa hali ya juu. Basi hapo ni baada ya maojiano na Mr Jay aliweza kusema kwamba :

« Ninacho weza kuongea mimi ni kwamba wa Director wengi sana hawana Ubunifu kubwa zaidi ni kwamba wajitaidi sana waongeze Ubunifu wa hali ya juu kwenye kazi zao maana sasa Filamu za Burundi zimeanza kutazamwa kila pembe ya Africa kwa wale wanao sikiliza kiswahili, pia mfano kama leo ivi unaona tayari movie ya Burundi kushiriki kwenye Festival ndani ya HOLLYWOOD ni jambo kubwa lakushukuru sana hapo imeanza kuonesha kwamba tumeanza kutumika vizuri sana,kwa iyo ni sisi wa Director Kuwaza mambo makubwa ili tuakikishe sanaa yetu inafika mbali na tukumbuke kwamba wasanii pia wanatutegemea sisi ili tuweze kuwatengeneza kwa hio tujitume sana. » Alimaliza Jay.

Hakuna kitu bila Mafunzo na Mafunzo ndo jambo muhimu kumbe mjitaidi sana walimu wa Filamu Burundi ili kufikisha kazi zetu mbali Maana kwa mtazamo Burundi kwa sasa Tunamaendeleo makubwa kwenye Sanaa.

Towa Maoni yako

What's your reaction?

Related Posts

1 of 193