5.5 C
New York
Friday, April 16, 2021
Home homepage BEBLINE : Tunaitaji kupambana ajili ya filamu zetu

BEBLINE : Tunaitaji kupambana ajili ya filamu zetu

Muigizaji wa Filamu inchini Burundi pia na mwana music wa kirazi kipya ajulikana kwa jina la beblina, apo ni baada ya kuwa kwenye music kwa mda mulefu na kazi zake za uhimbaji alikuwa akishirikiana pamoja na mwanadada aitwaye Pamy Queen na walifanya vizuri sana , ila kwa sasa tunaona Bebline kuanza kuonekana kwenye Filamu kama moja inayo tamba zaidi iitwayo IRONDO na kwa sasa akiwa anajipanga pia kufanya kazi nyingine mpya apo ni Baada yakumuona mwanadada uyo ukujitumasana tuliswasiana naye ili kujuwa mengi zaidi , na amejeleza nakusema:

BEBLINE

Kusema ukweli apo mwanzo sikuwa muigizaji wa Filamu zaidi yakuwa mwana music tu na kweli nilipo anza sanaa nimeona kwamba kipaji changu Mimi ni kuimba music ila Baada ya kuanza kufanya clip video maana kuna Baadhi ya Scene ambazo zinakuwa zinachezwa nakutiwa Scenario  ndipo nilikuja kugunduwa kumbe ata kuigiza najuwa na kweli nakashukuru Mungu kabisa nikaanza zoezi pole pole hadi ikafukia nikaja ku shoot Filamu inayo itwa IRONDO yaani kweli sikuamini nilivyo Act kwenye iyo Filamu nikajiona  Tofauti kabisa na ndipo nikaamuwa sasa kuingia ndani kwenye uigizaji ila na Filamu siwezi kuacha kusema ukweli, ila kimoja tutajitaidi kupandisha Game yetu kwa ujumla iwe music ao Filamu na Nina imani tutafika tu.

Sanaa ya Burundi ikishikwa mikono kwa pamoja lazima ifike mbali kabisa.

Towa Maaoni yako.

Must Read

Différentes vertus du psaume 08

0
Améliorer la confiance, attirer  les clients vers ton commerce Pour retrouver la confiance en soi Pour avoir une faveur dans les transactions commerciales    Contre les maladies des...