5.5 C
New York
Thursday, August 5, 2021
HomedutwengeFamba samba : Tayali nimeanzisha team yangu na kwa sasa nafatiliwa...

Famba samba : Tayali nimeanzisha team yangu na kwa sasa nafatiliwa sana youtube

Mchekeshaji nchini Burundi maarufu Samba Famba, anazidi kujituma na kutengeneza vizuri carrier yake ya uchekeshaji kwa sasa anazidi kuweka Comedy zake kwenye Channel yake ya Famba Samba nakujipatia washabiki wengi na kuzidi kumuunga mkono ,kwa sasa ameamuwa kuanzisha rasmi Brand yake na kutangaza nembo yake kwa kuanzisha Team kubwa ajili ya uchekeshaji. Basi tulipo wasiliana naye ametueleza akisema :

”Kusema ukweli nazidi kushukuru Mungu kabisa kwa mambo ambayo anazidi kufanya maana niko naona kupanda hatuwa siku kwa siku kabisa hadi najisikia raha. Baada yakutoka kwenye Team iliyo nikuza ya Dj Pro kwa sasa nimeanza kutumika na Channel yangu na niseme sana asante kwa wale wote ambao wanazidi ku Subscribe na kunitia nguvu siku kwa siku kweli Mungu azidi kuwabariki sana maana wanazidi kunifanya nionekane Star mkubwa sana ,kweli Mungu awabariki sana na nitatowa ahadi kwao kama jinsi wanavyo nisaidia namimi nazidi kuwapa kazi mpya siku kwa siku tena nzuri na kwasasa nimelianzisha Team kubwa la wachekeshaji kimoja tu kwa wale ambao bado awaja subscribe wajiandae sana kabisa maana nawaandalia mazuri ,naipenda nchi yangu ,naipenda comedy.” Alimaliza Samba

Kusema ukweli ni kwamba Comedy inapiga hatuwa kwa jitihada ambazo wachekeshaji wanazidi kujituma.

- Advertisment -

Must Read

Indirimbo ya Lolilo na ALikiba ngo agiye gushira umuziki wa hano...

0
Ivy’indirimbo ya Lolilo na Alikiba ntibikiri ikinyegezwabanga. Lolilo akoresheje urubuga rwiwe rwa Instagram yashize ahabona Coming Soon y’iyo ndirimbo yahawe akazi ka Magic Mirror. Nkuko...