homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Jaclus Smasher : « Filamu yangu inakuja na utofauti mkubwa sana

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi kwa jina la JACLUS SMASHER ambae anazidi kufanya kazi zake kwa kujituma zaidi na kuonesha utofauti mkubwa sana kwenye Industry ya Filamu nchini kwetu Burundi na kujituma kwa eshima kubwa kutaka kujuwa mambo mengi asiyo ya juwa basi kwa sawa kijana huo baada yakuachia Filamu iliofanya vizuri kwa sasa anakuja na nyingine mpya ambayo inazidi kutisha sana na Baada ya hapo tumeweza kuwasiliana naye na tukamuulizia nini Filamu yake inamaanisha ao kuelimisha amejibu

« FRESCURA Ni Filamu Yangu ambayo natarajia kuachia mda si mrefu na ni Filamu ambayo nimejitaidi kutumia ujuzi mkubwa sana kabisa na wasanii wote ambao wamecheza kusema ukweli wametendea haki script zote zilizo andikwa na wamejitaidi kueshinu Crew nzima ambayo imekuwa imesimamia movie
FRESCURA ni neno la kilatini maana yake ,ndoro , wivu upendo,Chuki …
ila ndaniya hii Story Ya Frescura Nimeonesha jinsi gani kila kitu kikipita kiyasi kinaleta madhara makubwa, kwa hio nimeonesha jinsi gani hata ndani ya ndowa upendo ukizidi unalera wivu na wivu unaleta madhara na hapo ndo inayumbayumba. Kwa hiyo washabiki wangu wajiandae kupata kazi nzuri kutoka kwangu. » Alimaliza Mr Smasher

Mungu azidi kubariki Filamu za Burundi kwa maendeleo yao.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 518