Skendo : Mimi nasimama upande wote, filamu na comedy
Mchekeshaji wa Filamu nchini Burundi aitwaye Radjabu maarufu kama Skendo Olamide ni mchekeshaji mzuri sana na kazi zake kupendwa zaidi. Ni msani ambae saa hizi ana trend kwenye mtandao wa Niho Tv ambapo comedy zake zinazidi…