BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Jacklus Smasher aja na filamu mpya iitwayo «mwanamke »

Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kama Jacklus Smasher ,kweli nikijana ambae anazidi kufanya kazi na kuleta changamoto kubwa kwenye tasnia ya Filamu. Pia ukimtazama ni kijana mwenye Bidii kubwa sana  tena yenye maendeleo ,Baada yake kuachia Cover mpya Tumeweza kumtafuta apo ni baada ya yeye kufanya Filamu tofauti apa karibuni ,kama kawaida ilivyo Indundi kwakusapoti wasanii Tumeweza kuwasiliana naye nakumuuliza kuhusu kazi zingine ambazo azijatolewa, amesema :

“Kusema ukweli mimi natumika kazi zangu kutokana na malengo yangu ,maana kila mtu kwenye kazi yake anakuwaga na vision Fulani, kwa iyo Mimi ndio maana Nazidi kutumika sana pia nashukuru sana kwa company ya MANDARINA ni watu wananisaidia kwa kiasi kikubwa sana,Pia nikumbushe washabiki wangu kwamba tayari hii kazi ya iitwayo MWANAMKE ,ipo tayari kwa sasa kaeni mkao wa kula nataka kuachia kazi nyingi ,kweli naombeni sapoti zenu kwa wingi’’. Alimaliza Jaclus.

Yalikuwa ni maneno ya Jacklus uku akiongea kuhusu ndoto alizo nazo nakutowa shukrani kwa company inayo msimamia kwa sasa,maana kupiga hatuwa ni jambo lakusapotiwa kwanza.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 255