homepageMoviesswahili

Kundi kutoka nchini Kenya Glightlikes Global wanazidi kufanya vizuri zaidi

Kikundi cha waigizaji wa Filamu nchini Kenya maarufu kama Glightlikes Global ,ni kundi ambalo limejichukulia umaarufu mkubwa sana nchini Kenya kwa kazi zao ambazo wanazozifanya siku kwa siku ,na apa karibuni kuna kazi ambazo walizo ziachia nazikapendwa zana nchini apo,kwa sasa wanakujia na nyingine mpya ambayo itakuwa nzuri zaidi na baada ya kuwasiliana nao walisema.

Glightlikes Global:

“Kusema Ukweli tunazidi kumshukuru Mungu sana maana tunazidi kupiga Hatuwa siku kwa siku na tunafanya jambo lakubadili Tasnia ya Filamu Inchini Kwetu Kenya na Amini lazima tutalifanikisha,na kwa sasa tupo kwenye maandalizi ya kazi mpya itakayo kuja na mafunzo ndo maana sina mengi nakusema zaidi ya “We are Getting Ready for our Lauch of the Wrath of Betrayed Souls
Coming Soon at Nairobi Main Campus

Date : 3rd April 2020
Venue :University of Nairobi Main Campus
Time :6:00PM to 12Nyt

Alimaliza Ivo Manager wa Glightlikes Global.

Kwa mtazamo ni vijana wadogo wenye uwezo mkubwa sana nchini apo Kenya na kwa mtazamo ni vijana wenye Ndoto yakuitembeza Tasnia yao ya Filamu East African nzima.

Towa Maoni Yako…

What's your reaction?

Related Posts

1 of 187