BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Niyuhire Aline : ‘’waigizaji wanawake nawaomba tufanye kazi nakuonekana bora zaidi’’

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kama NIYUHIRE ALINE, ni Muigizaji mzuri ambae anajituma na kutendea haki kazi zake za uigizaji pia apo ni baada yakusema kwamba anaomba sana waigizaji wote wakike waweze kujituma na kuweza kubadili Tasnia.

Pia mwana dada huu ameshashiriki kwenye Filamu nyingi sana ambazo zimefanya vizuri kwa kweli. Basi tuliweza kuwasiliana naye nakumuuliza anacho maanisha kwa kauli yake kwamba wanawake wajitume sana kwa kazi basi aliweza kufafanuwa kwa jina na kusema:

“Mimi Naamini Filamu ya Burundi Ipo siku itakuja kufika Mbali, maana Mimi Nina imani iyo ila tatizo Lipo ni kwamba waigizaji wengi wa kike awako najielewa kabisa apo ndo sijuwi ni kwanini ,ila tukijituma sana na Amini tutafika mbali sana na Mungu atasaidia ,ila wasanii wakike wenzangu acheni kabisa mtani kwenye hii kazi,maana uwezi kutamani uwe kama Oprah ,ao kama Aunty Ezekiel kipindi wewe ushiki kazi yako siriaz kweli nawaamini sana wanawake waigizaji wa Filamu,Pia niwakumbushe washabiki wangu wote kwamba kuna Filamu ambayo apa soon tu tutaenda kuachia kazi mpya ambayo nimetumia uwezo mkubwa sana’’. Alimaliza ivo.

Mwanadada huu aliongea maneno ayo uku akiwa mwenye uzuni sana ,uku akisisitiza sana wanawake wenzake waamke waweze kutumika kwa nguvu zaidi maana wao wana nguvu yakubadili Tasnia yetu.

Towa maoni yako…

What's your reaction?

Related Posts

1 of 255