BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

#Indundi Film | Hawa Modrick Muigizaji wa Filamu chipukizi anaejikubali

 

Mchezaji uyu wa Filamu Inchini Burundi kwa Jina HAWA MODRICK anaejituma kutokana na kazi zake za filamu siku kwa siku ,Pia ni binti aliye shiriki kwenye Filamu ambayo unefanyia ya All Stars Of Buja Movie iitwayo HAKI,Na aliweza kupata nafasi nzuri sana kwenye iyo Filamu na Baada ya kutoka ameweza kupata zawadi kutokeya Tanzania na man wa kutafsiri Movie za Kihindi,na Baadae dada uyo Kuweza kubahatika kushiriki kwenye Filamu ya SACRIFICE Iliyo chezwa kwa Mara nyingine na kikundi icho cha All Stars Of Buja Movie, apo ni Baada ya kuona kwenye ukurasa wake wa facebook kuandika kwamba yeye ni msanii anae jiamini sana ,tumemuuliza kwa nini ameandika ivo amesema:

 

HAWA MODRICK

Kweli Mimi ni msanii ninae jikubali pia kujiamini Maana utendaji wangu wa Kazi ni mzuri sana na ndio maana watu wengi wananipenda ,Pia nashukuru sana kamati tendaji ya BASABU ambayo ni shirika ya wasanii wakubwa ,kipindi nakuja Kufanya Casting Call kweli nimeoneshaga uwezo mkubwa ambao ulifuraisha wa director wote hadi kutokeya kunikubali na kunipa nafasi kubwa kwenye Filamu,Pia nasema kwamba najipanga kuleta Filamu nzuri na yenye mabadiliko makubwa sana ,Washabiki wangu wazidi kunisapoti na sintowaangusha kabisa

 

Dada uyo aliweza kutendea Role yake haki na ata kwa mtazamo wa Filamu anaonekana mwenye Uwezo mkubwa zaidi.

 

Towa Maoni Yako…

 

 

What's your reaction?

Related Posts

1 of 256