BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Muigizaji wa filamu nchini Burundi Mr Tambwe kuandaa series mpya

 

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu  Mr Tambwe anakuja pia na ujio mpya wa Series ambayo kwa Upande wake itakuwa ni yenye elimu zaidi, hapo ni baada kijana huyo kujituma zaidi siku kwa siku na kuleta mapinduzi katika Tasnia ya Filamu Burundi nakuanza kusikika kimataifa, hapo pia ni baada ya kijana huyo kuonekana na mapya kabisa kufanyisha Casting Call na wasanii kujitokeza wenye majina naku kaa kwa pamoja na kuanza maandalizi ya kazi hio ,basi alifunguka na kusema:

«Kweli wakugeuza Tasnia yetu ni sisi wenyewe baada yakuweka akili yetu sehemu moja ili tuwwze kufikia mambo makubwa ,kwa hio kwa upande wangu nimekaa chini nakufikia kitu cha Series ambayo itakuwa inaruka kwenye YouTube kwa week naachia Episode 1,vile vile ni seme kwamba ni kazi kubwa yenye Mafunzo ndani yake maana nimeweza kafikiria story nzuri na yenye kujaa Ubunifu wa hali ya juu ,kwa iyo kama vile washabiki wangu wanavyo nijuwa ,na towa ahadi kwamba siwezi waangusha ata kwa dakika moja wajiandae kupokea kazi nzuri. Pia shauri kwa wasanii wenzangu tujitaidi kuacha maneno ma nguvu yakupondana sisi kwa sisi kuliko Tuweze kuungana mkono na tuinuwe Tasnia yetu ». Alimaliza Tambwe.

Kweli ni kijana mpambanaji anae jituma sana kwenye Game ya Nyumbani na Mara tu ameachia Short Film nzuri ambayo imependwa sana iitwayo DHAMIRA CHAFU, na zingine nyingi sana kweli tupende vya kwetu na tusapoti vya kwetu,nyumbani kwanza.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 202