BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Salma Hassan : “Mimi ni msanii wa Filamu ninae kubalika hadi naitwa kuwa Queen Video

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi ajulikana kwa jina la Salma Hassan, ni binti mrembo kwa muonekano na anazidi kukubalika sana kwenye kazi za Filamu nchini Burundi, hapo ni baada ya kuwa mshiriki kwenye Filamu ambayo inazidi kutamba nchini Burundi kwa Jina la IRONDO na kazi hiyo kukubalika. Uyo dada ameweza kupata umaarufu vyakutosha hadi kuitwa kwenye Video za Music na kuwa Video Queen, basi tulipo wasiliana naye ameweza kujieleza na kusema:

“Kusema ukweli siyo kwamba Mimi ni mtu wa ajabu sana Noo, But najiamini sana maana niko powa kwenye kazi yangu ya kuigiza na ninapata sifa za Kukubalika kwa sababu Mimi kwanza ni mrembo pia Nina Shepu nzuri sana zakuvutia,ndio maana naweza kusema kwamba wa Director nao pia mbele yakumuita Muigizaji wanatazama vigezo vyote ndio maana Mimi nasema kwamba ninajieneza kabisa,pia hadi Vichou wa Peace and love amenitafuta ili niwe Queen Video wake ni kwasababu ameona Nastaili yeah,na pia niwaambie washabiki wangu kwamba siyo apo tu ila wasubiri Baada ya IRONDO nyingine inakuja wawe kwenye mkao wa kula tu.” Alimaliza Ivo.

Kweli Tasnia ya Filamu inaitaji wanawake warembo kama jinsi anavyoongea dada Salma ili Filamu ziweze kuwa na muonekano mzuri.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 255