BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Faxine Fanny : “Filamu yangu ya GIRUBUNTU inakuja tofauti sana Burundi

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kama Fexine Fanny ambae anajituma sana kwenye kazi zake za filamu nchini kwetu Burundi ,hpo ni baada yake kuzungumza mengi sana kuhusu kuwa mbunifu wa hali ya juu kwenye tasnia ya Filamu Burundi nakuleta mabadiliko ,kwa sasa amekuja na kazi mpya na tuliyazungumza naye kuhusu kazi iyo ambae anacheza kama Mapacha ,Aliweza kuongea :

Mimi sipendi mambo ya kuongea sana nakuonekana MSWAHILI sana kwenye kazi zangu ,nikiwa namaanisha mwingi wakuongea kuliko kutenda, Hii kazi yangu nimependa kwanza nifanye ivi ili nikuje na utofauti mkubwa sana kwenye kazi za Burundi maana Mimi napenda sana kuwa mbunifu ,pia kama nilivyo towa ahadi kwa washabiki wangu kwamba Mimi nitawapa kazi nzuri sana na yenye kufuraisha basi nimeanza sasa na nijulishe wasanii wenzangu kwamba Mimi nimpambanaji Naamini nitafika pia wajifunze kushika mfano kama wangu iyo itawasaidia sana kabisa .pia kazi zangu zinapatikana kwenye Chanel ya Karorero Tv apo utaona kazi zangu nyingi sana na utaweza kujifunza”.

Sanaa ya Burundi kweli mwa hatuwa ya upamoja lazima watafikia malengo ,maana kutokea Burundi tukaona Filamu ya mapacha haijawahi kutokea.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 255