BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Lolilo kuonekana kwenye filamu mpya

Muimbaji wa Music kwa jina la Lolilo ambae anazidi kujituma siku kwa siku na kazi zake zinazidi kutamba nchini kwetu Burundi ,na pia tukirudi nyuma Lolilo ni msanii ambae anastaili eshima yake ata kuna watu ambao bado hawajaona umuhimu wake ,pia ni Star mkubwa na amejaribu kufanya kazi zake za Music nje ya nchi pia na wasanii wakubwa ,ila kwa sasa tumejaribu kumuona akishiriki kwenye kazi yake mpya iitwayo NABII EZEKIEL na kweli ameweza kujitaidi sana katika sehemu ya uigizaji ,na tukawasiliana naye kuhusu kazi akasema :

Lolilo SIMBA : “Mimi kwanza nashukuru sana Indundi Tv kwa Kuweza kusapoti wasanii wa Filamu Burundi kama vile ninavyofanya na mimi pia ,okey kitu ambacho naweza kusema ni kweli nimeshiriki kwenye iyo Filamu na kazi iyo ni kubwa sana na inakubalika sana kabisa ,unajuwa Mimi Director alipokuja kunambia tupambane ajili ya iyo kazi kabisa sikuwa naamini ila nimependa kazi yao ilivyo kuwa hadi saizi tumefikia Episode ya 8 kumbe ninacho weza kusema ,ni kwamba tupendane na tuwe na umoja ,ninacho weza kusema tu ni kwamba wa Funs wangu wote mjaribu kusapoti kazi hii na mzidi kutusapoti sisi ,na mengi yanakuja yako njiani maana kama mnavyo mjini” Alimaliza Lolilo.

Msanii Lolilo ni msanii ambae anaejituma kwenye kazi yake kabisa nakupendwa zaidi na wa Funs wake kabisa ,na nikijana mwenye moyo wakuweza kusapoti wadogo zake ambao wanakuja nyuma yake.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 256