BurundiIndundi CinemaMoviesswahili

Indundi Film : Tambwe Kwenye Mkataba Mpya na Company ya Niho Tv

Muigizaji wa Filamu inchini Burundi ajulikanae kwa jina la HAKIZIMANA REMY Maarufu kama Tambwe Remy ,Nikijana mwenye Bidii sana kwenye Tasnia ya Filamu Burundi na anazidi kupigania kuakikisha anatangaza Filamu za nyumbani, tukumbuke kuwa kuna kazi ambazo anazidi Kufanya na zinakubalika sana kwenye mitandao ya kijamii iitwayo NABII EZEKIEL Ni kwamara ya kwanza Burundi kuonekana Saison Ya Kiswahili ,kweli kijana uyo anazidi kujituma sana kabisa ,Basi tulipo zungumza naye kutokana na kazi yake mpya kijana  uyo ame sema

TAMBWE

“Mimi kusema ukweli Nina Ndoto Kubwa sana ambayo naitajia kutimiza kupitia Tasnia Yetu Ya Filamu Burundi ,ila kimoja kinacho sababisha kuona nashindwa kufikia malengo yangu nikwasababu wasanii upendo atuna kwa kweli ,ila moja tu ninachopenda zaidi nikuona jinsi wasanii wanazidi Kuendelea kutumika kazi nzuri, na kwanza kwasasa nashukuru sana maana nimeingia kwenye mkataba na Company Ya NIHO TV na nina imani kwamba kwa sasa mambo yanaenda kubadilika na nitaakikisha kazi zangu kufika kimataifa  na kupeperusha bendera ya Burundi.”

TAMBWE nikijana mwenye nguvu ya kutafuta maendeleo kila siku na kila mda hadi alipo Tokeya kushiriki kwenye Festival ya Sinema zetu Inchini Tanzania

Towa Maoni yako…

 

What's your reaction?

Related Posts

1 of 139