BurundiIndundi CinemaMoviesswahili

Indundi Film : Comapany Jay C Production na ujio wa episode mpya

Company nzima la Jay C Production wanakujia na kazi kubwa sana ambayo ni ya episode, Jay C Production ni company ya uzalishaji wa filamu inchini Burundi na inazidi kufanya vizuri siku kwa siku, na kuleta mabadiliko makubwa sana inchini Burundi pia inajitolea kwa kulea wasanii chipukizi ,basi baada ya kuona Kazi yao mpya yuliwasiliana na manager wa Comapany iyo na ameweza kutowa mwanga kuhusu Kazi iyo:

 

Manager Jay C Production

kusema ukweli ni kwamba sisi tunazidi kumshukuru Mungu maana anazidi kututendea kwa kweli,pili lakuchangia ni kwamba kama tumefunguwa ili company moja ni kwasababu yakuweza kuinuwa tasnia yetu ya filamu inchini Burundi na kuakikisha vijana wetu wanapiga hatuwa kubwa kabisa,ndio maana naweza kusema kwamba tupo ajili ya vijana wote, pia kama lakumalizia tu niseme kwamba tunakija na  saison yetu inayo itwa MY DAUGHTER pia Episode 1 inapatikana kwenye chanel yetu ya Jay C production ,kwa iyo tunaomba sapoti kutoka kwa warundi wenzetu ili kusongesha Kazi zetu mbele.

Alimaliza ivo…

Burundian Film ikipata Sapoti Lazima itafika mbali

Towa Maoni Yako..

What's your reaction?

Related Posts

1 of 139