BurundiIndundi CinemaMoviesswahili

Indundi Film : Kube Drama | Naleta Mapinduzi ya Buja movie kwa mda Tu

Muigizaji na muhariri wa filamu inchini Burundi, kijana ajulikanae kwa jina la Kube Drama anazidi kufanya vizuri kwa upande wa uchezaji ,pia ni editor mzuri wa filamu. Kube Drama amefanikisha kutengeneza filamu na inchi jirani ikiwemo pia Tanzania ,baada ya apo tumewasiliama nae na akajifunguwa lamoyoni nakusema

KUBE DRAMA:

“Kusema ukweli mimi siyo msanii mkubwa, kivile ila ndoto zangu mimi nikutaka kuwa mtu mkubwa sana zaidi ,maana kazi ya filamu naipenda na ni moja ya talent yangu ,pia siyo tu kwa upande wa uchezaji, pia nakuandika,kwa iyo ndoto yangu mimi nikataka niweze kufika mbali zaidi ili tuone kwamba sanaa yetu inafika mbali ,na kwa upande wangu naitaji kuleta mabadiliko makubwa bila kujali mtu maana atujuwi nani atakuwa Kiongozi wa Buja movie, ila napendelea kesho niwe mimi ,na neno la mwisho, kwawashabiki wangu ni kwamba wajiandae kupokea Kazi zangu kubwa soon naenda kuachia”

Alimaliza Ivo…..

Kube Drama anazidi kuinuwa tasnia ya filamu na Kazi zake zinazidi kusikika kimataifa

Neno Moja Kwake..

 

 

 

 

What's your reaction?

Related Posts

1 of 93