BurundiIndundi CinemaMoviesswahili

Willy Akansuraheba: Ujio wa Saison Yangu Utakubalika

Mtayarishaji wa Filamu nchini Burundi lea jina la Willy anazidi kupambana Filamu Ya Burundi kwa Utafauti Mkubwa sana kabisa ,Apo Mwanzo alianza kuwasaidia vijana waigizaji mkoani Rumonge na kuweza kuwasaidia kuwatolea Filamu za kutosha ,na alizidi kujituma hadi kwenye mashindano ya Festicab 2019 Filamu Aliyo itengeneza YOSHUA Kutoka Best Image ,na yeye ndo amesimama kama Editor ,Basi ni Baada yakusikia Kwamba kuna kazi kubwa anatarajia kuachia ,tumewasiliana naye na Akasema :

“Kusema Ukweli ni Kwamba Napambana na jambo kubwa ila mwisho tu niakikisha naona Filamu Ya Burundi inafikia Malengo,unajuwa kweli Inaumiza sana kuona tunavyo zidi kupambana na Buja Movie ila Upendo Unakuwa mdogo sana kwa wasanii nakusababisha Tushindwe Kufikia Malengo,Kwa Iyo Mimi kwa kazi yangu ya Utayarishaji naona kabisa Kwamba Filamu Ya Burundi inatakiwa umakini Mkubwa sana Ndio maana nimekuja na kazi yangu kubwa kwa upande wangu ,ila naamini Kwamba watakao ipokea itawaelimisha tu ,Ndio maana nasema wasubiri Saison Yangu Mpya inakuja na Utafauti ,pia naamini nitatangaza apa Indundi lini inaachiwa na wapi wataipata ,Kwa iyo niseme Asanteni sana Indundi Web ,pia Indundi Tv Kwa kuwa Karibu Yetu sisi waigizaji“. Alimaliza Willy.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 99