BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

BM Production izanye ireresi nshasha yitwa KONGOLO

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi ajulikanae kwa jina la Kenedy Basam nikijana ambae anazidi kujituma sana kwa upande wa Filamu, ikumbukwe kwamba kijana huyo na star wa Filamu inchini Burundi alikuwa chini ya Uongozi wa Mashakado Entertainment ila Baada Ya maendeleo kijana uyo Uliamuwa kuanzisha Company Yake uku akiibatiza jina la BM PRODUCTION Na Tumeweza Kuwasiliana naye natuka zungumza mengi na akaweza kufunguka na kusema :

“Kusema Ukweli ni Kwamba nazidi kupambana na Kazi yangu ili niweze Kufika mbali na yote Nikwasababu Mimi nimekuwa na Ndoto kubwa sana yakufika mbali Ndio maana nimefanikisha ilo jambo ,ni kweli apo nyuma Mimi nimekuwa chini ya ma group mengi sana ila nikajifikiri ,ili Mimi niwe star na niweze Kufikia pale ninapo paitaji Lazima niweze kupambana na ndipo niliamuwa kuanzisha mradi wangu na kuanzisha Company ya BM PRODUCTION naamini nitafanya mambo Makubwa sana kabisa ,maana na ivi nakuja na Filamu Mpya iitwayo KONGOLO ,Na pia najipanga kuanza nyingine”. Alimaliza Bassam

Maendeleo ya Filamu ni wasanii wenyewe kuleta mabadiliko.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 258