Home Burundi Tambwe Remy anakuja na kazi mpya iitwayo nabii Ezekiel

Tambwe Remy anakuja na kazi mpya iitwayo nabii Ezekiel

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr Tambwe aonekana na ujio wa kazi nyingine mpya ambayo inaitwa NABII EZEKIEL, Ikumbukwe kwamba kijana huu Tambwe ni kijana anaepambania Filamu na kazi zake kufananishwa na nchi jirani Tanzania kwa bidii anayo ifanya pia na kwa muonekano wa kazi zake, Basi hapo ni baada ya kutamba na Filamu iitwayo MR MASAKI na NABII MRUNDI kwa sasa anakuja na ujio wa nyingine NABII EZEKIEL. Kweli kazi inavyoonekana ni nzuri ila katika maongezi tukauliza Filamu hiyo inatoka lini, aliweza kusema

Filamu hiyo Soon inakuja tu wala msijali ,na pia niseme kwamba katika utengenezaji wa Filamu ya Mr MASAKI na NABII MRUNDI nimepata changamoto kubwa sana kwa watu wengi kusema kwamba namfatilia sana NABII MSWAHILI ambaye ni madebe Lidai, kweli imefikia kipindi hadi nikapatwa na Hasira kubwa zaidi kwa sababu kila mtu aliongea anavyo jisikia ao kwa mtazamo wake yeye. Ila niwakumbushe kwamba kweli Madebe namtazama sana na pia ni mtu ambae aliweza kuni inspire ndio maana nimejifunza nione kama naweza namimi kufikia, ila tulikuwa tukiwasiliana naye na pia nikamuonesha kazi, ila kitu nilichogunduwa ni kwamba siwezi kumzuwia mtu kuongea vile atakavyo, niliamuwa kuachana naho nanikaendelea na kazi. Pia kwa sasa nashukuru sana hii kazi imekamilika pia nashukuru sana kikundi cha washabiki wangu kuzidi kunisapoti ,labda tu nitangaze waisubiri sana hii kazi soon tunaachia.” Alimaliza Tambwe

Kweli kijana Tambwe anajituma sana kwenye hii kazi ya Filamu nakupambania Filamu za Burundi kwa hali na mali, Mungu amjalie aweze kufika mbali kutokana na kazi yake, na warundi tujifunze kupenda vya kwetu ili tufike mbali.

Facebook Comments

Most Popular

#Basketball |Loko ntakibarizwa mu Burundi

Uwahora ashikiriza ibiganiro vy'inkino ,ivy'urukundo na zinduka kuri Buja fm akaba kandi yari umumenyereza w'imirwi nka New stars , Les gazelles, Berco stars ,Les...

Buffaloes Fc uzokina na Messager Ngozi munzira ugana mu Burundi

  Kuri uyu wa kane igenekerezo rya 03 Kigarama 2020, niho abakinyi na Staff y’umugwi Buffaloes Fc bavuye muri Eswatini berekeza mu gihugu c’Uburundi mu...

Ingingo nshasha zafashwe mu ntumbero yo kurwanya coronavirus

Kuva aho ikibuga c'indege Melchior Ndadaye hamwe n'iyindi mipaka y'uruja n'uruza vyugururiwe ngo ibice 95 kw’ijana vy’abatowe coronavirus baje bavuye hanze y’igihugu. Mu kiganiro yahaye...

Ngo ntiricemerewe kugurisha ama ‘’unités’’ nk’uko vyahora

Ishirahamwe Payway ryahora rifasha mu kugurisha ama "unité" no mu kuriha amafagitire y’amatara n’amazi vy'ishirahamwe Regideso ngo ntirirekuriwe gusubira kuja kurangura ama "unité" muri...

Facebook Comments