Mfahamu vizuri kijana muigizaji “Mathématique”
Kijana aitwae Mucowintore Saidi maarufu kama Mathématique kupitia jina analotumia kwenye kazi yake ya Comedy leo ameeleza kuhusu alivyo anza kazi yake ya Filamu pia na comedy "Majina kamili naitwa Mucowintore Saidi ila…